더 많은 노래 — Marioo
설명
작가: 마리오
프로듀서: 에일리언 트랙스
작곡: 마리오
가사 및 번역
원문
Kutoka haloo
Aah, oh yeah
Nashukuru nimejua kisa salio
Ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salio
Ahcha basi nikatafute hela
Siungesema kisa hee (hee)
Ndo inafanya ukose raha (la)
Siungesema kisa hee (hee)
Ndo inafanya ukose raha (la)
Nimekaa naumiza ndonga
Almanusra nidate
Ah, Nimekaa naumiza ndonga
Chupuchupu npagawe
Maana usiku kucha unanisifia
Kukikucha unanichiti
Na tena mara kwa mara unaniambia
Kitu yangu ndo inafiti
Ah, Mara pa! Natumiwa video zako unaliwa
Mate kwenye ndinga
Ah, Mara dah! Naambiwa una danga lako lenye umri wa kukuzaa
Nikawa nashangaa
Nashukuru nimejua kisa salio
Ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salio
Ahcha basi nikatafute hela
Siungesema kisa hee (hee)
Ndo inafanya ukose raha (la)
Siungesema kisa hee (hee)
Ndo inafanya ukose raha (la)
Mmh! Yeah
Ah
Ah, si kila kitu nilifanya kwa ajili yako
Na wewe ukaniahidi utazikwa na mimi
Hata kitu niliwasha kwa ajili yako
Ni wewe ndo ulitaka uvute na mimi
Maneno yako yaliniaminisha, na mimi nikajiamini
Comfortability
Vitendo vyako viliniaminisha, kumbe sio
Negativity
Ah, Mara pa! Natumiwa video zako unaliwa
Mate kwenye ndinga
Ah, Mara dah! Naambiwa una danga lako lenye umri wa kukuza
Nikawa nashangaa
Nashukurunimejua kisa salio
Ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salio
Ahcha basi nikatafute hela
Siungesema kisa hee (hee)
Ndo inafanya ukose raha (la)
Siungesema kisa hee (hee)
Ndo inafanya ukose raha (la)
Ah yeah yeah
Ndo inafanya ukose raha
한국어 번역
쿠토카 할루
아아, 아 그래요
나슈쿠루 니메주아 키사 살리오
응고자 콴자 니타푸테 헬라
쿰베 시다 시나 살리오
아챠 바시 니카타푸테 헬라
시운세마 키사희(hee)
Ndo inafanya ukose raha(라)
시운세마 키사희(hee)
Ndo inafanya ukose raha(라)
니메카아 나우미자 은동가
알마누스라 니다테
아, 니메카아 나우미자 은동가
추푸추푸 은파가웨
마아나 우시쿠 쿠차 우나니시피아
쿠키쿠차 우나니치티
나 테나 마라 콰 마라 우나니아비아
키투 양구 이나피티
아, 마라빠! 나투미와 비디오 zako unaliwa
메이트 퀘니예 딩가
아, 마라다! Naambiwa una danga lako lenye umri wa kukuzaa
니카와 나샹가
나슈쿠루 니메주아 키사 살리오
응고자 콴자 니타푸테 헬라
쿰베 시다 시나 살리오
아챠 바시 니카타푸테 헬라
시운세마 키사희(hee)
Ndo inafanya ukose raha(라)
시운세마 키사희(hee)
Ndo inafanya ukose raha(라)
음! 응
아
아, si kila kitu nilifanya kwa ajili yako
나 웨웨 우카니아히디 우타지크와 나 미미
하타 키투 닐리와샤 콰 아질리 야코
Ni wewe ndo ulitaka uvute na mimi
마네노 야코 얄리니아미니샤, 나 미미 니카자미니
편안함
Vitendo vyako viliniaminisha, kumbe sio
부정성
아, 마라빠! 나투미와 비디오 zako unaliwa
메이트 퀘니예 딩가
아, 마라다! Naambiwa una danga lako lenye umri wa kukuza
니카와 나샹가
나슈쿠루니메쥬아 키사 살리오
응고자 콴자 니타푸테 헬라
쿰베 시다 시나 살리오
아챠 바시 니카타푸테 헬라
시운세마 키사희(hee)
Ndo inafanya ukose raha(라)
시운세마 키사희(hee)
Ndo inafanya ukose raha(라)
아 그래 그래
은도 이나판야 우코세 라하